Uandalizi wa chakula cha ng’ombe wa maziwa kwa njia ya silage
Filamu hii inaonyesha usanifu asili na ustawishaji wa teknologia ya silage kutokana na viazi vitamu uliofanywa na Kituo cha Mazingira Centre kinachohusika na utafiti na elimu katika International Livestock Research Institute (ILRI). Kazi hii imetekelezwa chini ya mradi wa Green Innovation Centres (GIAE) kwa niaba ya wizara ya serikali ya Ujerumani ya ushirikiano wa uchumi na maendeleo (BMZ).
Saved in:
Main Author: | |
---|---|
Format: | Video biblioteca |
Language: | Swahili |
Published: |
International Livestock Research Institute
2017-06-13
|
Subjects: | animal feeding, dairies, livestock, |
Online Access: | https://hdl.handle.net/10568/82608 https://www.youtube.com/watch?v=kKNsEVHi_eI |
Tags: |
Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
|